Jumamosi, Februari 08, 2014

Moja ya kamera zetu zilimnasa mrembo huyu mida ya saa nane mchana baada ya kufakamia pombe kuanzia mida ya saa sita,

Baada ya kufanya uchunguzi wa kina iligundulika mdada huyu alipigwa kibuti na mpenzi wake na kuamua kunywa pombe kwa ajili ya kuondoa mawazo

ONYO: POMBE HAIONDOI MAWAZO ZAIDI YA KUKULETEA MATATIZO

0 comments:

Chapisha Maoni