Jumatatu, Februari 17, 2014

 MWANAMKE  raia wa United States - alalama  kitendo cha mume wake kukataa kufanya tendo la ndoa pale  akiwa na uhitaji wa kitu hicho adimu, mwanamke huyo alimtolea uvivu mumewe huyo ambaye yasemekana anatabia ya ulevi kwa kutembea uchi wa mnyama mpaka pale anapo ishi mume wake huyo na kufanya uharibifu mkubwa katika nyumba ya mume wake huyo kwa kuchoma moto baadhi ya vitu na kuvunja vunja furniture kibao zilizopo ndani, bila hata haya ya watu walokuwa waimtazama aliendeleza uharibifu wake huku akiwa mtupu mpaka pale polisi walipofika na kumtuliza...
 
chanzo chetu kinaeleza kuwa ujio wa polisi  ulisaidia kumtuliza bibiye huyo....report kamili inadai sasa mumwewe huyo alipigiwa simu ili aende polisi Los angels kujibu mashtaka hayo ...bwana huyo aliye fahamika kwa jina la mlevi Ashely Marie Prenvost akarudi Glendale , Arizona nyumbani na kukuta uharibifu mkubwa sana lakini hakua na jinsi ikambid aende kituoni....

0 comments:

Chapisha Maoni