Jumamosi, Februari 01, 2014


Kikosi cha jiji cha uokoaji na zimamoto wakishirikiana na polisi trafiki kuzima moto uliokuwa ukiteketeza basi la abiria katika eneo la Vingunguti Barabara ya Nyerere Dar es Salaam leo .

Mizigo iliyookolewa kutoka kwenye basi hilo kabla ya kushika moto.

0 comments:

Chapisha Maoni