Alhamisi, Januari 23, 2014

Hudhaifa Shatry.

Kwa habari tulizozipata asubuhi ya leo ndege zipatazo 2,000 kughairishwa safari zake za ndani ya miji ya Marekani zitakazoondoka kutoka pande za Pwani ya Mashariki ya Marekani asubuhi ya leo, sababu ya dhoruba ya theluji kali iliyotangazwa mapema kudondoka mida ya saa 10:pm hadi mchana wa 12:pm

Hivi sasa inaanza kudondoka taratibu pande za DMV hadi New York huko ambapo tunategemea kuapata theluji kati ya inchi 8 hadi 12 pande za East Coast.

Kwa wale ndugu zetu watakaokuwa barabarani na vyombo vya moto taratibu ndio mwendo kuwa muangalifu, na make sure unaweka snow shovel ndani ya gari yako, na kwa wale wanaotumia metro transportation kwaajili ya kwenda makazini, kujikoki ni muhimu na pia kunywa maji mengi yenye uvugu uvugu sababu ya afya yako.

JANA tuliripoti snow kali kutokea maeneo ya NEWYORK...Kuona picha zaidi  BOFYA HAPA

0 comments:

Chapisha Maoni