Jumanne, Januari 21, 2014


JANA majira ya saa nane alasiri Basi lenye lenye jiona maarufu kama ALLHAMDULILAH lilipata ajali mbaya huko makoani Lindi watu kumi walipoteza maisha papohapo na 28 mahututi wapo Hosptali ya mkoa wa lindi  sokoine,


Chanzo cha habari kilimueleza paparazi kwamba chanzo cha ajali hio ni baada ya Basi hilo kugongana na Roli la mizigo wakati basi hilo likitokea Dar kuelekea mtwara, Likapoteza muelekeo na kupinduka mita kadhaa kutoka barabarani istoshe kulikuwa na utelezi mkali kutokana na mvua kubwa iliyonjesha mda mchache kabla ya ajali.

  Miili ya waliopoteza maisha katika ajali hiyo ikipakiwa kwenye gari.

M/MUNGU AWATANGULIE MAJERUHI WAPONE MAPEMA, WALIOPOTEZA MAISHA MUNGU AWALAZE MAHALA PEMA PEPONI.

0 comments:

Chapisha Maoni