Jumatatu, Januari 27, 2014


Rapa machachari wa nchini Marekani na mwanzilishi wa Cash Money,Bryan Williams aka Birdman kupitia ukurasa wake wa Instagram alionyesha choo chake imara kilichojengwa kwa dhahabu.

Choo hicho kimegharimu kiasi cha dola za kimarekani milioni moja ($1m) ambayo ni sawa ni shilingi za Kitanzania zaidi ya milioni mia moja na sitini na moja (161m).

Watu wanatumia pesa si mchezo!,kama wasemavyo waswahili 'tumia pesa ikuzoee'.

0 comments:

Chapisha Maoni