Jumatano, Januari 29, 2014


 Jengo la JMC likiwaka moto.
  Wananchi wakishuhudia moto huo.
 Magari ya zimamoto yakiwasili eneo la tukio kutoa msaada.
 Wananchi wakiwa eneo la tukio.

JENGO la JMC linalomilikiwa na Zhihir Shivji lililopo eneo la Kamata mtaa wa Kasanga, Kiriakoo jijini Dar es Salaam leo majira ya saa nane mchana lilinusurika kuteketea kwa moto ulioanzia ghorofa ya saba. Chanzo cha moto huo na mali zilizoteketea mpaka sasa bado hazijatambulika.


0 comments:

Chapisha Maoni