Jumamosi, Februari 01, 2014

Au wakikuhurumia watakufanya hivi..

Ukishikwa China, watakupiga risasi mbele za watu,

Ukikamatwa Saudi Arabia, kama mkiwa wengi mtaadhibiwa kwenye kifaa hiki.
Kama siku hiyo mpo wachache, au ukiwa peke yako, utamalizana nao kwa style hii.

Kwanini u'risk maisha yako?

Kijana, fikiria mama yako aliyekuzaa akiona unaishia hivi atasononekaje moyoni mwake?

Ni kweli umeishiwa mbinu za kujipatia kipato kwa njia nyingine halali?

Kijana wa Kitanzania, wewe ni spesho hakuna kama wewe.

Hakuna kitu chenye thamani kama maisha yako.

Usikubali kuwa punda wa kubebea watu madawa yao ya mabilioni ya pesa kisha wewe unaambulia pesa ya kununulia saloon car(kama ukinusurika kukamatwa).

0 comments:

Chapisha Maoni