matukio Jiji la Mbeya laweka historia kwa uzinduzi wa lifti ya kwanza jijini humo 21:15 Paparazi Hapa Lift ikiwa imezinduliwa Rasmi kwa ajili ya matumizi. Mdau Geofley Ananiah akiwa katika uzindunduzi huo. Jengo la Chama cha walimu. Baadhi ya watu wakiwa wanaingia katika Lift hiyo kwa ajili ya uzinduzi huo.
0 comments:
Chapisha Maoni