Jumatano, Juni 11, 2014

Ajali hii imetokea  lililopita maeneo ya Msamala katika manispaa ya Songea...kwa mujibu wa taarifa hakuna mtu aliyefariki zaidi ya kupata majeraha madogo madogo!Chanzo cha ajali hakijajulikana mpaka sasa.

 Barabara ikawa ndogo kwa muda...

 Baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo..

 wale wa gambe sijui ilikuaje!

 Bado tukiwa huko huko Songea: hili ni basi nalo lilifeli breki..hakuna madhara makubwa yalotokea..

0 comments:

Chapisha Maoni