Ni
single yake mpya kwenye TV & Radio kote Afrika ambayo imefanyika
Kenya zaidi ya wiki tatu zilizopita ikiwa pia ndio video ya kwanza ya Ay
akionekana kumshika msichana, ni mara ya kwanza toka aanze kutoa video
za single zake.
Tazama kipande cha wimbo huo kwa kubofya play hapa chini....
0 comments:
Chapisha Maoni