Mamba aliyekuwa akiishi kwenye makazi ya watu Kinondoni Block 41, jijini Dar es Salaam hatimaye ameuliwa kwa kupigwa na risasi zipatazo nne.
Kwa mujibu wa shuhuda aliyekuwepo eneo la tukio alisema kuwa Mamba huyo amekuwa akiishi kwa muda mrefu licha ya Wananchi kutoa taarifa kwa mamlaka husika.
"Leo ameuwawa Mamba ambaye alikuwa akitulaza kwa hofu maana alitokea kujichanganya kwenye makazi ya watu ndipo watu walipomshambulia na baadae ilibidi tupate msaada wa jirani yetu ambaye alikuwa na bastola na kufanikiwa kumpiga risasi nne na kumuua.
Mamba akiwa amewekwa juu ya gogo ili wananchi wamwangalie vizuri katika kituo cha Osterbay jijini Dar.
Mamba alikuwa amekomaa akikadiriwa kuwa na umri wa miaka mitano...
Mamba alikuwa amekomaa akikadiriwa kuwa na umri wa miaka mitano...
0 comments:
Chapisha Maoni