Mto mmoja huko nmjini Bern Switzerland uitwao mto Lotzwil umebadilika hafla na maji yake yamegeuka kuwa damu.
Wanasayansi nchini humo wameshindwa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana na tukio hilo ingawa baadhi ya wanathiolojia wa nchini humo wamelihusianisha tukio hilo na yale maneno yaliyosemwa kwenye kitabu cha ufunuo 16:4 katika biblia takatifu.
Tazama picha zaidi hapa....
0 comments:
Chapisha Maoni