Mazishi ya msanii Geez Mabovu ambaye alikuwa maarufu kwenye muziki wa Hiphop Tanzania, yamefanyika leo nyumbani kwao Iringa katika makaburi ya Mlolo.
Mabovu amefariki dunia kwenye hospitali alikokua amelazwa nyumbani kwao Iringa alikokwenda wiki mbili zilizopita kutokea Dar es salaam akisumbuliwa na maradhi ya kifua.
Ndugu, jamaa, marafiki, wasanii na watu mbalimbali wamejitokeza kushiriki katika mazishi hayo.
Hizi ni baadhi ya picha za mazishi ya msanii huyo.

Jeneza la Marehem Mabov likiwa msikitini tayari kwa kuswaliwa.
umati wa watu wakielekea makaburini.
baadhi ya wasanii waliohudhuria mazishi hao wakiwa kwenye kaburi.
Jeneza likiwa limefika makaburini.
Producer Lamar wa fishcrab akishiriki kubeba jeneza.
Waombolezaji wakiwa na jeneza la msanii Mabovu kutoka msikiti wa Mwangata kwenda makaburi ya Mlolo Iringa
Wasanii wakiwa wamelipiga chata kaburi la mabovu mara baada ya mazishi yake
Baadhi ya wasanii wa kundi la Weusi ambao wamefika Iringa kumzika msanii Mabovu leo
Makini akichangisha rambi rambi.
Msanii JOh Makini akiwa na michango ya msiba wa mwenzao Mabovu leo.
Mwakilishi wa wasanii wa kundi la Weusi Joh Makini kushoto akimpa pore baba wa msanii Mabovu mzee Upete kulia baada ya kumaliza kuzika nyumbani kwake Mwangata wengine ni baadhi ya wasanii walioshiriki mazishi hayo leo.
0 comments:
Chapisha Maoni