Huyu ni msichana ambaye alikutwa katika uchochoro wa club za bar usiku kati ya galax majira ya asubuhi saa 12 akiwa hajitabui.
Baadhi ya wananchi wakijaribu kumuongalia bint huyo akiwa ana fahamu huku akiwa katika kichocholo huku nguo zake zikiwa zimechanwa na watu wasifamika mjini kahama.
Askari polisi wa kituo cha polis kahama thomas munyongo akijaribu kumtabua msichana huyo na bila mafanikio na kuomba msanda katika kituo cha polisi
0 comments:
Chapisha Maoni