matukio Angalia picha za ajali mbaya ya basi la Happy Nation Mbeya 20:06 Paparazi Basi lenye namba T281 ARR mali ya Happy Nation likiwa limepinduka eneo la Meta Igurusi kilometa 54 kutoka Mbeya. pamoja na madaktari wakiendelea kuwahudumia majeruhi. Majeruhi akiwa wodini.
0 comments:
Chapisha Maoni