Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zubeir Mtemvu.
Baada ya watu kuja na Ushahidi mbalimbali juu ya umri wake Sitti Mtemvu kupitia page yake ya facebook ameandika.
My take: Tumeshuhudia watu mbalimbali wakiathirika kisaikolojia kwa manyanyaso mitandaoni,ni vizuri hekima ikatumika kwa kufuata hatua (procedures) za kuhoji taji hilo kuliko kumnyanyasa mitandaoni.
0 comments:
Chapisha Maoni