Mtoto huyo ukiwa kando muda mchache baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Double Cabin ambayo ilikimbia baada ya kufanya tukio hilo.
Baadhi ya wasamaria wema wakiwa wamefika eneo la tukio kwa ajili ya kutoa msaada kwa mtoto huyo.
Baadhi ya wasamalia wema wakimchukua mtoto huyo kwa ajili ya kuupeleka hospitali.
Mashuhuda
Tukio hili limetokea mida ya saa Tano asubuhi leo ambapo chanzo cha ajali hiyo ilidaiwa kuwa ni Mwendo kasi wa Gari hilo ambapo halikuchukua tahadhari na kusababisha kugongwa kwa Mtoto huyo .
Tukio hili limetokea mida ya saa Tano asubuhi leo ambapo chanzo cha ajali hiyo ilidaiwa kuwa ni Mwendo kasi wa Gari hilo ambapo halikuchukua tahadhari na kusababisha kugongwa kwa Mtoto huyo .
0 comments:
Chapisha Maoni