Bweni la wanafunzi katika shule ya sekondari ya African Muslim iliyopo Laloleni manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro likiteketea kwa moto.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wamesema moto huo ulianza jana majira ya saa 2 za usiku huku chanzo chake bado hakijajulikana.
Kikosi cha zimamoto kilifanya jitihada za kuzima moto huo licha ya kukabiliwa na changamoto ya maji.
0 comments:
Chapisha Maoni