Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein aalishiriki katika kumswalia Marehemu Ali Khamis Abdalla Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika Masjid Makhfoudh Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar jana.
Makamanda wa jeshi la Polisi Zanzibar wakilibeba jeneza la Marehemu Ali Khamis Abdalla Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar aliyezikwa Fuoni jana,maziko yake yaliyoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kushoto) Makamo wa Pili wa rais Balozi Seif Ali Iddi,wa pili kushoto) pamoja na Viongozi mablimbali na wananchi wakiwa katika Marehemu Ali Khamis Abdalla Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar aliyezikwa Fuoni jana.
(Picha zote na Ramadhan Othman,Ikulu)
0 comments:
Chapisha Maoni