Ijumaa, Septemba 05, 2014

Mabasi hayo yakiwa yamegongana
  Miili ya Abiria waliokufa ikiwekwa vizuri ili kutambuliwa.




 Wananchi wakiwa kwenye simanzi.


  Mahututi wakikimbizwa wodini.


 Watu wakitambua miili ya marehemu.

Basi la Jumanne ( J4 Express ) lililokuwa linatoka Sirari kwenda Mwanza limegongana uso kwa uso na basi la Mwanza coach lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Musoma. Ajali imetokea katika eneo la daraja la sabasaba, Musoma. 

Timu ya Paparazi Blog inachukua fursa hii kutoa pole kwa familia zote zilizopatwa na misiba pamoja na majeruhi wa ajali hii,bila kusahau wakazi wote wa Musoma.
Endelea kufuatilia hapa ili kupata taarifa kamili ya ajali hii.

 

0 comments:

Chapisha Maoni