Ijumaa, Julai 18, 2014

Lori la Mafuta likiwa limepinduka muda mchache uliopita katika eneo la msitu wa Sao Hill.

 Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakiwa wanakimbilia kuona ajali ya Lori hilo la mafuta.

 Wananchi wakiwa wanakimbilia kuchota mafuta hayo yaliyo mwagika katika eneo hilo bila kijali hatari ya kulipuka kwa mafuta hayo.

 Jitihada za kuliondoa Lori la mizigo ambalo nalo limepata ajali eneo hilo zikiwa zinafanyika muda huu ili kupisha Magari mengine kuendelea na Safari.

 Askari wa usalama wa Barabarani wakiwa wamewasili katika eneo la Ajali ilipotokea.

 Ulinzi ukiwa umeimarishwa katika eneo hilo.

Mpaka tunaondoka eneo la Tukio hakuna taarifa ya kujeruhiwa kwa mtu yoyote .. fuatilia hapa.

0 comments:

Chapisha Maoni