Gari likiteketea kwa moto jijini Arusha.
Gari hilo likiwa karibu na kituo cha mafuta cha Mount Meru.
Gari la zimamoto lililofika kuuzima moto huo.
Raia wakishuhudia janga hilo.
LORI aina ya Fuso limeteketea kwa moto eneo la Shamsi jijini Arusha jana jioni.
Chanzo cha kuteketea kwa lori hilo hakikujulikana mara moja.
LORI aina ya Fuso limeteketea kwa moto eneo la Shamsi jijini Arusha jana jioni.
Chanzo cha kuteketea kwa lori hilo hakikujulikana mara moja.
0 comments:
Chapisha Maoni