Jumatano, Julai 02, 2014

Majambazi wakikimbia kwa miguu wakitokea kwa Nyerere wamelishambulia basi la magereza lilobeba wafungwa na escort ya polisi kwa risasi kadhaa majira ya saa nane mchana.

Askari magereza na polisi wamejeruhiwa na majambazi yametokomea kusikojulikana. Mahabusu wanashangilia  na shughuli zote zimesimama.

0 comments:

Chapisha Maoni

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.