Alhamisi, Julai 10, 2014

Basi la Amani Express likitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam limepata ajali usku wa kuamkia leo maeneo ya Salanda mkoani Tabora, ambapo mtoto wa miaka mitatu amepoteza maisha na abiria kadhaa wamepata majeraha.

Mashuhuda wanahisi kuwa  chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi. Pichani abiria wakitafuta vitu vyao.

 Abiria wakiendelea kutafuta vitu vyao.

 Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali hiyo wakisubiri msaada wa usafiri.

 Basi la Amani likiwa limepinduka.





0 comments:

Chapisha Maoni