Ijumaa, Julai 18, 2014

Ikiwa mda mchache umepita tangu ndege ya Malaysia kupotea na abiria wengi ndani na kutoonekana mpaka leo,pigo lingine limeikumba nchi hiyo kwa kuanguka na kulipuka kwa ndege yake nyingine aina ya Boeing 777 iliyokuwa na watu 298 ndani yake na wote kupoteza maisha papo hapo.





 Wachambuzi mbalimbali wa mambo ya kijamii na kisiasa wanalihusisha tukio hilo na ugomvi baridi uliopo kati ya nchi hiyo ya Malaysia na Urusi,ambapo imepelekea serikali ya Ukraine kupaza sauti yake na kuishutumu serikali ya Urusi kwa kufanya shambulizi hilo ambapo serikali Urusi nayo ilipinga kuhusika na shambulio hilo.










 Mungu azilaze roho za marehemu hao mahala pema peponi.


 

0 comments:

Chapisha Maoni