matukio Madereva wa daladala Stand kuu-Uyole Mbeya wagoma,Fuso zatumika kusafirisha abiria 00:38 Paparazi Chanzo cha mgomo huo ni uchache wa nauli ambapo madereva hao wanadai nauli ipande mpaka shilingi 500 kutoka shilingi 400 iliyopo sasa.
0 comments:
Chapisha Maoni