Jumapili, Juni 08, 2014

Khloe Kardashian amefunga safari kutoka Marekani mpaka Durban, Afrika Kusini kwa ajili ya kumuangalia French Montana aliyekuwa na ratiba ya kuperform kwenye tuzo za MTV MAMA. Lakini kumuangalia tu akipiga show haikutosha!

Camera za paparazzi zimewanasa wakiwa kwenye hall la ukumbi huo wakioneshana mahaba, so its official na hawataki iwe tetesi kama mwanzo.

Khloe Kardashian Khole Kardashian na french montana red carpet


0 comments:

Chapisha Maoni