Jumatano, Juni 04, 2014

Gari limegonga mlango wa kioo wa Benki ya CRDB, mkoani Morogoro. Taarifa zinasema kuwa dereva huyo alikuwa anataka kurudi nyuma kumbe alibonyeza sehemu ya kuendeshea ndo akaishia kuingia CRBD .

0 comments:

Chapisha Maoni