Mgeni rasmi Mkurugenzi msaidizi Wizara ya Sayansi na Teknolojia idara ya sayansi na ubunifu Dr. Magreth Komba.
akizindua kijarida cha WITTED kuashiri uzinduzi wa mpango wa kuhamasisha wanawake kusomea uhandisi sayanzi na teknolojia.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi.
Mgeni rasmi Mkurugenzi msaidizi Wizara ya Sayansi na Teknolojia idara ya sayansi na ubunifu Dr. Magreth Komba akiongea na wageni waalikwa katika uzinduzi huo.
Naibu kaimu makamu mkuu taaluma na utafiti wa Mbeya University of Science and Technology (MUST) Dkt Mbonde akimkaribisha mgeni rasmi.
Albertina Leonard Mwenyekiti WITTED na mkufunzi idara ya sayansi na biashara akisoma taarifa fupi ya mpango wa kuwahamasisha wanawake kusomea fani ya sayansi na Teknolojia.
Matungwa William mkuu wa idara ya mitihani na pia kaimu mkuu wa idara ya FSD Mbeya University of Science and Technology (MUST).
Hapa wanawake wakifurahia uzinduzi.
Tedy Mkwawa mwanafunzi mwaka wa tatu Diploma uhandisi umeme Mbeya University of Science and Technology (MUST) akimwelezea mgeni rasmi jinzi umeme unavyofanya kazi katika nyumba.
Enea King'ung'e anaesomea uhandisi umeme mwaka wa tatu Mbeya University of Science and Technology (MUST) akimwelezea mgeni rasmi jinsi taa za barabarani zinavyofanya kazi.
Sheila Mwihava mwanafunzi wa mwaka wa tatu shahada ya uhandisi umeme Mbeya University of Science and Technology (MUST) akitoa maelezo mafupi kwa mgeni rasmi jinsi taa zinazotumika katika mizani za barabarani zinavyofanya kazi.
Elizabeth Lema anaesomea shahada ya uhandisi umeme Mbeya University of Science and Technology (MUST) akimwelezea mgeni rasmi jinsi vifaa mbalimbali vya umeme vinavyofanya kazi.
Victoria Mtega kulia anaesomea usanifu majengo mwaka wa tatu Mbeya University of Science and Technology (MUST) akimwelezea mgeni rasmi jinsi ujenzi wa nyumba mbali mbali zinavyojengwa kitaalamu.
Bi Scholastica Loppa Mhadhiri msaidizi Fani ya umeme Mbeya University of Science and Technology (MUST) pia ni mwanzilishi wa kampeni ya uhamasishaji wanawake kusomea fani ya ufundi anamiaka 30 tangu ameanza kufanya kazi ya uhandisi umeme.
Grace Ntungi yeye ni Mhandisi shirika la umeme Tanesco Mbeya anamiaka 22 kazini katika fani hiyo amesema wanawake tunaweza bila kuwezeshwa.
Lilian Kawala Mhadhiri mtarajiwa uhandisi umeme akielezea jinsi anavyolipenda somo la sayansi na changamoto alizokutananazo amesema hakuna somo rahisi kama hesabu maana hesabu jibu huwa moja kuliko masomo mengine majibu hutofautiana hivyo wanawake wenzngu tujitokeze kusomea fani za ufundi.
Eunice Maonyeshp yeye ni mahandisi toka Tanroads akielezea mafanikio yake katika kazi ya ke ya uhandisi barabara.
Flora Talamba Mhandisi toka Tanroads.
Baby TOT wakitumbuiza katika uzinduzi huo.
Picha ya pamoja
0 comments:
Chapisha Maoni