Jumamosi, Mei 03, 2014

 Marehemu Rashid Chilangwa, Mtunza Bustani Mkuu wa Ikulu enzi za uhai wake. Marehemu alifariki dunia siku ya sherehe za Mei Mosi katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.



Mwili wa marehemu ukiswaliwa kabla ya kupelekwa shambani kwake Kisarawe kwa mazishi.

 Viongozi wa ofisi ya Rais Ikulu wakijadiliana na wanafamilia ya marehemu kuhusu mwenendo wa mazishi

0 comments:

Chapisha Maoni