Serikali ipige marufuku makampuni ya kutengeneza Mabango kuweka mabango karibu na Barabara au yawekwe mbali na barabara mita 20 kutoka Barabara kuu.
Hili limeanguka Round about ya Royal Oven njia ya kwenda Lugalo Golf course (Avacado),na hii siyo mara yakwanza mabango kuanguka kuna siku pale katikati ya salender bridge na Kinondoni lilianguka uzuri ilikuwa katika mikoko.
0 comments:
Chapisha Maoni