matukio Balozi na kimada wake wafa ajalini 11:49 Paparazi Balozi wa Togo nchini Nigeria amefariki akiwa na kimada kwenye ajali ya gari. Inasemekana marehemu hao walikuwa wameenda 'Club' kujistarehesha kisha wakati wa kurudi gari walilokuwa wakiendesha likapata ajali ya kuingia baharini
0 comments:
Chapisha Maoni