Bi Mwanaid Vuai Saleh akiwa ameathirika kiasi hicho kama anavyoonekanav pichani akiwa katika hospitali ya Jeshi Bububu Unguja akiendelea na Matibabu yake akisubiri misaada ya Wasamaria wema ili kupata kusafirishwa nje ya nchi kupata matibabu zaidi ili kurudisha hali yake kiafya.
Kwa sasa amepata baraka zote kutoka Ofisi ya Mufti Zanzibar kupata missada kama inavyosomeka hapo chini.
Kumradhini kwa kuweka picha hii ya Bi Mwanaid Vuai Saleh, kwa maadili ya habari haifai.
Aliyepata ajali hiyo ya kuanguka wakati akiwa katika kazi zake za nyumbani na kuanguka katika sufuria la maji ya moto baada ya kuona kizunguzungu na kuangukia humo na kumuathiri kiasi hicho na kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya Jeshi Bububu akipata matibabu ya majaraha hayo.
Bi Mwanaid Vuai ni Mkaaza wa Shehia ya Chumbuni Wilaya ya Mjini Unguja
Anaomba msaada wa Fedha ili kusafirishwa nje ya Nchi kupelekwa India kwav matibabu zaidi.
Kwa kila Mwananchi atakayepata fursa ya kumsaidi Bi Mwanaid Vuai, ili kupata matibabu, anaombwa kuwasiliana nae kwa Namba 0777424152.

0 comments:
Chapisha Maoni