Jumanne, Mei 06, 2014

 Ana miaka 8 wezake wamempachika jina la "Fish Boy" kama a.k.a yake lakini jina halilopewa na wazazi wake ni Pan Xianhang amezaliwa katika mji wa Wenling nchini chini akiwa na Ugonjwa wa Ngozi unaojulikana kitaalam kama LCTHYOSIS neno ili limetoholewa katika neno la kigiriki likimaanisha Samaki.

 Ugonjwa huu ukimpata mtu umuathiri sana maeneo ya kuzunguka Macho,Pua,Masikio na Mdomo,unasababisha mtu kujikuna sana na kumsababishia mgonjwa maumivu makali sana na hasa nyakati za usiku.



0 comments:

Chapisha Maoni