Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuhifadhiwa leo mchana .
Rais wa Bongo Movies, Steve Nyerere akiwa katika sura ya mshangao.
Wasanii wakilia kwa uchungu nje ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili mchana wa leo.
0 comments:
Chapisha Maoni