Jumatano, Mei 21, 2014

 Ajali Hii ni mbaya sana.Ajali Hiyo imetokea mara baada ya Muendesha Pikioiki Huyo Kuendesha Bila Kufuata Sheria za Usalama barabarani na Ndipo Lori Hilo Lilompitia na Kumjeruhi Vibaya.

wanaotumia bodaboda wawe makini na madereva wanaowabeba,pia muwe mnawapa mashariti na juu ya speed wanazoenda nazo,kwa mfano unakuta bodaboda kakaa kijiweni hana hili wala lile,ukimchukua tu mara anaanza kukimbiza pikipiki mi huwa nawauliza unawahi wapi na wakati nimekukuta umekaa kijiweni.

 Mabaki ya Mguu ya Muendesha Bodaboda wa Mkoani Mwanza Akiwa amegongwa la Lori. 

 Watanzania wenzangu tuweni makini na hivi vyombo vya usafiri maana huyu aliepata hii ajali hana tofauti kati ya mimi na wewe.Ni hayo tu nawatakia siku njema na kazi njema katika kulijenga taifa letu.

0 comments:

Chapisha Maoni