
Audio yake ilitoka February 14 2013 na ikamiliki headlines mpaka kuingia
kwenye nyimbo 10 kubwa zilizokaa sana kwenye top20 ya Clouds FM, ‘nje
ya box’ inaweza kuwa single pekee ya bongofleva ambayo video yake
imefanywa miezi 10 baada ya audio kutoka.
BOFYA PLAY HAPO CHINI...
0 comments:
Chapisha Maoni